How can we help?

Sign in

Jinsi ya kubadilisha lugha kwenye programu

Chaguo la kubadili lugha linapatikana katika wasifu wako.

Kwenye iOS itakupeleka kwenye mpangilio wa simu yako ambapo unaweza kubadilisha lugha kuwa ile unayoipendelea.

Kwenye Android, unaweza kubadilisha lugha moja kwa moja kwenye program.

Was this article helpful?