How can we help?

Sign in

Kutoa Tathmini Kwa Abiria

Utakapo maliza safari na kuthibitisha bei, utaombwa kutoa tathmini ya abiria wako kwa kumpa nyota kuanzia 1-5. Kama utampa nyota chini ya 4, utatakiwa pia kuacha maoni/sababu. 

Tizama hatua za kufuata hapa chini:

  • Bonyeza maliza safari
  • Gusa kuelekea kulia ili kuthibitisha bei
  • Mpe nyota, ongeza maoni, kisha thibitisha

Wakati mwingine ukiendesha na Bolt, usisahau kutoa tathmini ya abiria wako na kushiriki uzoefu wako na sisi.

Was this article helpful?