How can we help?

Sign in

Vidokezo ili Kupata Maombi Mengi ya Safari

Kama kuna muda hupati maombi ya safari, hakikisha upo mtandaoni. Kama umepata changamoto yoyote ya kiufundi tafadhali tizama nakala ya kuwa na tatizo la kiufundi ili kupata utatuzi.

Vidokezo vingine kuhusu jinsi ya kupata maombi mengi zaidi:

  • Endesha kwenye maeneo yenye mzunguko mkubwa wa watu, kama kati kati ya mji, uwanja wa ndege, vituo vya matukio au kumbi kubwa
  • Jifunze zaidi kuhusu mienendo ya jiji lako, unaweza kupata taarifa zaidi kuhusiana na mienendo ya jiji lako kupitia jarida la Bolt
  • Kwa miji ambayo Bolt inafanya kazi, muda mzuri wa kufaidika ni siku za kazi 7:30-10:00 asubuhi na 04:00-07:00 jioni na siku za mwisho wa wiki 10:00–12:00 asubuhi na 21:00–03:00 usiku

Zingatia muongozo huu rahisi kuhakikisha unapata maombi mengi ya safari na kuingiza kipato zaidi.

Was this article helpful?