How can we help?

Sign in

Kusasisha taarifa za akaunti yako

Unaweza kubadilisha namba yako ya simu au barua pepe yako na kupakia nyaraka zako unapohitaji.

Maelezo:

  • Nenda kwenye Mipangilio kwenye app yako ya udereva
  • Bonyeza Portal ya dereva na kuingia
  • Badilisha barua pepe au namba yako

Kumbuka:

  • Kusasisha akaunti yako ya benki, tafadhali wasiliana nasi Timu yetu ya msaada kupitia  app
  • Ona maelezo ya kupakia  Picha yako.
Was this article helpful?