How can we help?

Sign in

Kuwa na Tatizo la Kiufundi

Kama simu yako haiko sambamba na app au kama unatumia toleo la zamani, unaweza kupata tatizo la kiufundi.

Kutatua tatizo hili kwa mara moja, tafadhali jaribu marekebisho haya:

  • Zima na kuwasha simu yako
  • Sasisha app yako
  • Sasisha mfumo wa simu yako.(software)
  • Futa kisha rejesha app yako tena

Nini cha kufanya ukiwa na tatizo la app katikati safari?

  • App yako ikikwama, zima na kuwasha simu yako; taarifa zote za safari tutakuwa nazo hivyo usiwe na wasiwasi kwamba safari itajikatisha ukizima simu
  • Kama kuzima na kuwasha simu haitasaida, omba ukaguzi wa bei

Kuzuia tatizo la mtandao, tunaomba simu yako iwe kwenye chaji na utumie data chini ya 1 - 2Gb 3G au 4G

Ukihitaji usaidie zaidi kutatua tatizo la kiufundi, tafadhali wasiliana na Timu yetu ya msaada kupitia App.

Kumbuka: Tafadhali angalia ujumbe kuhusu Mahitaji ya simu sahihi

Was this article helpful?