How can we help?

Sign in

Kutumia uzio wa Kuendesha

Dereva anaweza kubadilisha uzio wa kuendesha baada ya kuingia mtandaoni. Uzio unaweza kuongezeka au kupungua, kulingana na wapi unataka kupokea safari.

Fuata hizi hatua rahisi kuweka uzio:

  • Fungua App yako ya dereva
  • Gusa kuelekea kulia ili kuingia mtandaoni
  • Moja kwa moja utaelekezwa kuweka uzio wako
  • Gusa alama chanya + kuongeza au alama hasi - kupunguza uzio wako

Pembeni ya uzio wako wa kuendesha utaona ramani joto (yenye rangi nyekundu) itakuelekeza kuendesha sehemu zenye uhitaji mkubwa.

Kumbuka: Unaweza kupokea maombi yatookayo nje ya uzio wako, hata hivyo kukataa maombi haya haita athiri Alama yako ya shughuli.

Was this article helpful?