How can we help?

Sign in

Kuzuia Maombi ya Safari katikati ya Safari

Na kipengele cha safari katikati ya safari, utapunguza muda wa kusubiri kati ya safari moja na nyingine na hivyo kuongeza kipato chako na ufanisi katika kazi.  

Kama utahitaji kuzuia kipengele hiki kufanya kazi, fanya kama inavyoelekezwa hapa:

  • Kubali ombi na anza safari
  • Nenda kwenye orodha

Gusa kitufe cha kijani kilichopo baada ya ujumbe Kubali safari inayofuata

Kumbuka: Kipengele cha Safari katikati ya safari kitafanya kazi endapo tu utachagua kupata safari ndani ya safari nyingine.

Was this article helpful?