How can we help?

Sign in

Kumsubiri Mteja

Kama mteja hajafika ndani ya dakika 4-5 baada ya kufika eneo la kumchukua, hakikisha unampigia simu. Kutafuta sehemu ya kupigia simu, bonyeza kwenye mistari mitatu iliyopo kwenye kona ya juu ya upande wa kulia na gusa sehemu iliyoandikwa pigia mteja

Kukufidia kwa muda uliotumia kusubiri ada ya muda wa kusubiri itatozwa kwa mteja  kulingana na kiwango cha dakika baada ya wewe kufika eneo la kumchukulia.

Kumbuka:

  • Kama umeshindwa kumfikia mteja kupitia simu unaweza kukatisha safari baada ya dakika tano.
  • Alama yako ya shughuli haita athirika kama mteja hajatokea baada ya dakika tano na ukakatisha safari kwa sababu Mteja hakuja.
Was this article helpful?