How can we help?

Sign in

Kuongeza Gari

Kama ungependa kuongeza gari kwenye akaunti  yako, tafadhali tuma ombi kwa kuingia kwenye Portal ya dereva na fuata maelekezo haya:

  • Nenda kwenye Orodha kuu. (mistari mitatu iliyopo upande wa kulia juu)
  • Chagua magari.
  • Bonyeza Ongeza gari nyingine.
  • Jaza sehemu zinazohitajika na kuongeza nyaraka zinazohitajika

Ombi la kuongeza gari litathibitishwa ndani ya masaa 24. Baada ya ombi lako kukubaliwa, utaweza kuiona gari yako mpya kwenye akaunti yako. Tafadhali kumbuka kubadili gari kwenye app yako .

Kumbuka:

  • Tafadhali usiendeshe gari uliyotaka iongezwe mpaka mabadiliko yadhiinishwe na gari ionekane inafanya kazi kwenye akaunti yako
  • Kuendesha na gari ambayo haijadhiinishwa, inaweza kusababisha akaunti yako kufungwa kabisa.
Was this article helpful?