How can we help?

Sign in

Picha yako ya Akaunti

Madereva wa Bolt wanastahili kuwa na picha yao inayoonekana vizuri kwenye app yao ya dereva.

Picha nzuri:

 • Inaonyesha uso wako katikati ya fremu (Na tabasamu itapendeza!)
 • Ionyeshe wewe peke yako (na sio wengine)
 • Ionekane safi
 • Hauna miwani au kofia (miwani ya kusoma/kuona yakubaliwa)
 • Ichukuliwa kwenye mwangaza (hakikisha kwamba umeangalia mwangaza au dirisha)
 • Ichukuliwe na kamera iliyopo usawa wa macho

 

Screen_Shot_2018-07-04_at_16.22.35.png

 

Kusasisha picha yako

Unaweza badilisha picha yako kwa kufuata maelezo haya    

 • Nenda kwenye Mipangilio  kwa app yako
 • Bonyeza Portal ya dereva kuingia hewani
 • Bonyeza nyaraka
 • Nenda chini na kubonyeza  Picha ya dereva.
 • Utaweza kuongeza au kubadilisha picha yako
Was this article helpful?