How can we help?

Sign in

Kubadili Fikio

Dereva au mteja  anaweza kuhariri au kubadilisha fikio la safari wakati wowote kabla ya dereva kuthibitisha mwisho wa safari.

Kama kwa sababu fulani abiria ameshindwa kubadilisha fikio kwenye App kupitia simu yake, unaweza kufanya hivo kupitia App yako ya dereva kama ifuatavyo:

  • Nenda kwenye orodha iliyopo kona ya juu upande wa kulia
  • Chagua Badilisha fikio
  • Ingiza uelekeo sahihi

Kumbuka: Tafadhali mpe taarifa mteja kwamba baada ya kubadili uelekeo bei ya mwisho inaweza kuwa tofauti na bei ya mwanzo iliyooneshwa wakati wa kufanya ombi.

Was this article helpful?